WanaCHADEMA: Charity begins at home!!

Umeshawahi ku process Hati ya kiwanja,kibali cha ujenzi ukajua inachukua siku ngapi kuvipata? bila kutoa rushwa
 
Nilijua una jambo la msingi kumbe chenga tu, kwa hiyo kwako wewe kujenga majengo ndio kipaumbele, da!
 
Nilijua una jambo la msingi kumbe chenga tu, kwa hiyo kwako wewe kujenga majengo ndio kipaumbele, da!

Ukiwa na akili za kukariri a.k.a kudesa hutaweza kuielewa mantiki ya hoja yangu labda kama nikiweka zile mada zetu za udaku kama vile USALITI,WARAKA WA SIRI na mada nyinginezo zinafananazo na hizo ndiyo ungenielewa.
 
hayo unayo yawaza waliwaza kina mrema.mapalala,lipumba,seif babu slaa kitambo sana na bado wamesanda utakuwa wewe mchovu mwenye id fake tena jf

mtaji wa ccm ni watu maskini na wajinga. You are inclussive yani kama kuna watu mamburula nchi hii ambao fikra zao zimeoza (sio kupotoka tu) basi you must be no.1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…