BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Umeshawahi ku process Hati ya kiwanja,kibali cha ujenzi ukajua inachukua siku ngapi kuvipata? bila kutoa rushwaKitendo cha Kuruka na CHOPA tatu kwenye kampeni za kata moja huku document za chama zikiwa zinalala kwenye kiota cha ndege ni kipimo tosha kuwa CHADEMA ni SACCOSS na siyo chama. Wakati wa kampeni nikasikia HECHE anasema siku saba alizoruka angani na CHOPA amejionea umaskini mkubwa sana wa tanzania, nikajiuliza kelele ambazo viongozi wake wamekuwa wakipiga majukwaani kuwa nchi ni maskini wao waliona baada ya kupanda CHOPA au alitaka kuwatambishia wananchi kuwa na yeye siku hizi ni mtu wa CHOPA?