wengi wenye maamuzi ndani ya ccm hawa taki serekali tatu.....
viva tanganyika yetu.
wengi wenye maamuzi ndani ya ccm hawa taki serekali tatu.....
viva tanganyika yetu.
Hayo umeyapata wapi? Kwa taarifa yako G55 ilikuwa na baraka zoote za Mwinyi. Wengi waliomo madarakani wameibuliwa na Mwinyi na Mkapa. Watafuata mawazo ya Wengi. Njelu Kasaka na Malechela ni miongoni mwao.
Nape yuko ITV anachapia..... eti CCM kama taasisi.ina maoni yao..... si walisha toa yakasikika.... sasa wana wasiwasi gani na vi-memo vya hapa na pale.... wawaache watu nao watoe yao kama watu binafsi.....!!!!
nimekuso mkuu....vipi nape anatumwa na nani?
wengi wenye maamuzi ndani ya ccm hawa taki serekali tatu.....
viva tanganyika yetu.
Tofauti na baadhi ya watu wanavyodhani kuhusu mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya, kwa sasa wanaCCM wengi wenye uelewa mpana tunataka uwepo wa serikali ya Tatu ya Tanganyika.
Wakati kukiwa na juhudi na nguvu kubwa kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM 'kuwakaririsha' wanaCCM sehemu mbalimbali nchin ili waweze kwenda kusema mbele ya tume ya Katiba mpya kuwa wanataka serikali mbili, lakini hali inazidi kuwa mbaya na tofauti kwa wanaCCM wengi wenye uelewa ambao kwa dhati tunataka serikali Tatu.
Uchunguzi wangu binafsi nilioufanya toka semina za wanaCCM zianze ule wimbo wa kuwaimbisha wanaCCM kusema serikali mbili unaelekea kuchuja maana wengi wa wanaCCM wameshindwa kupata sababu za msingi kwanini iwe serikali mbili na wala sio serikali tatu kama rasimu ya katiba inavyopendekeza?
Kweli kabisa hao uliowataja ndio wanaojua machungu ya nchi hii na ninashukuru bado wako hai na wataiona Tanganyika yao waliyoipigania kwani Sinde Warioba hatawatupa.Hayo umeyapata wapi? Kwa taarifa yako G55 ilikuwa na baraka zoote za Mwinyi. Wengi waliomo madarakani wameibuliwa na Mwinyi na Mkapa. Watafuata mawazo ya Wengi. Njelu Kasaka na Malechela ni miongoni mwao.
Wakenya lazima watudharau sana hivi tunatengeneza katiba ya vyama au ya nchi miaka hamsini hadi mia ijayo!!mambo ya ccm kukataa serikali tatu yanatoka wapi???ccm kweli imefika mwisho hakuna hata mwenye ufahamu kuwa tunatengeneza katiba mpya ya nchi na sio ya chama fulani huo ni ubinafsi wa kudhani itatawala milele.wengi wenye maamuzi ndani ya ccm hawa taki serekali tatu.....<BR>viva tanganyika yetu.
Utaona wakati wa uchaguzi Safari hii hakuna kuchagua chama katika kupitisha katiba. Mfumo wa serikali tatu utashinda kwa kishindo. Kuwasikiliza viongozi wetu tunawasikiliza lakini twajua tutakavyochagua!sasa kama wanaCCm wengi mnataka serikali tatu kwa nini hamkusema kwenye kikao hadi chama kikapitisha serikali mbili wakati wengi wenu mko upande wa wananchi?