FactHii mada ni kuhusu ndugu zetu hapa JF ambapo hufikwa na majanga fulani kimaisha na kuona kila kitu ni kibaya
Hujihisi kutengwa, kutothaminiwa na hata kutopendwa.. Akichanganya na stress binafsi huamua kuweka uzi wa kuaga mazima.. Lakini changamoto zikipita mnamuona tena jukwaani
Mimi huwa nawafananisha hawa ndugu na wale mabinti wanaoenda airport na mabegi wakijifanya wanasafiri ughaibuni na kupiga mapicha meengi kisha kuchukua bora na kurudi nyumbani
Leo nimemuona aliyetuaga last year yupo hapa kimyakimya😀
Wataje😅Tunawajua🤣🙌🏾
Nashukuru mkuu wangu ,sasa naanza kuwatqja leo niko tayari kwa vita yoyote kikubwa mkuu wanguYou are fully protected
Spiritually
Magically
Scientifically
Politically
There will always be signs.. ngoja waje lol 😆Wataje😅
Mimi nikajua umewataja nikaweka kila kitu kando kwanza🤣Nashukuru mkuu wangu ,sasa naanza kuwatqja leo niko tayari kwa vita yoyote kikubwa mkuu wangu
Ndugu MamaSamia2025 upo kaka ?
Afande Kunguru wa Manzese ,Awi ....
Bingwa wangu Top lemon u hali gani mwanetu ?
Wewe unakimbia sana nyuzi zako😂Lianzishe nitakulinda💪🏿
Ni hao hao ,nasikilizia kama hawatanijia juu niendelee na wengineMimi nikajua umewataja nikaweka kila kitu kando kwanza🤣
Nashukuru mkuu wangu ,sasa naanza kuwatqja leo niko tayari kwa vita yoyote kikubwa mkuu wangu
Ndugu MamaSamia2025 upo kaka ?
Afande Kunguru wa Manzese ,Awi ....
Bingwa wangu Top lemon u hali gani mwanetu ?