Ndugu hata mimi ningeunga mkono ukawa lakini Mwita Waitara hatoshi :
- Mimi mwana kivule tumempa mtaa bado hajafanya kazi ya kunishawishi
- 2010 alikwenda kugombea ubunge kwao hawakumpa iweje sisi ukonga tumpe kirahisi na kwao walimwona hafai .Msifanye Ukonga kichwa cha Mwendawazimu kila mtu anajifunzia hapo
- Ni mlevu na hujikojolea mbele ya watu. Wanaukonga hatuko tayari kuwakilishwa na Mwita Waitara.
-Ana tamaa ya madaraka hajui anachokihitaji
Huyo mama aishie zake. Kanjibai naye.- Mama Mwaiposa kasema yumo,
- Meya was ilala naye anasema kata imemshinda wapinzani wamezonga aka fie mbele
- Ramshi Patel naye mimi iko taka jaribu tena
Wapo wengine ni vishoia hawafai hata kutajwa humu. Hapo tubakwenda na nani mimic binafsi nasema afadhali zimwi likujualo mama bado anatosha kajitahidi sana kushuka kwa watu.
Ahadi zake kajitahidi.
Hayo unayaona wewe tu au kuna kitu unafaidiWee kidole007 unafanana na jina lako acha viroba vyako toa sababu siyo Mahanga wenu alikaa ukonga miaka 15 hatukumwona hata kwenye mkutano mmoja kalidumaza jimbo , Mwaiposa siku chache tu maendeleo kibao umeme kivule karibu unaenea, makazi kipunguni katunusuru kuhamishwa , bara2mombaza ziliwashinda midume miaka yote kaweka lami. Maji kivule visima virefu 6 .Kiwanda kapigana kimefungwa kilikuwa kero kwa wananchi na mengine lukuki .Hivi nyie mapimbi mnataka kiongozi lazima a we mkuria tu ?
Mwaiposa kajitahidi lazima tumpatie miaka 5 mingine.
Huyo diwani wenu nyansika zaidi ya kugombanisha watu kafanya nini kivule kwanza hajui kusoma mkuria Huyo.
Hongera mama tena leo umenguruma Bungeni kuhusu bara2 ya njia 6 nimekusikia asubuhi na jioni umechangia upungufu wa madawa hosp zetu , wazee pensheni na mikopo Kwak vijana mh usikatishwe tamaa na mijitu mengine
Ukawa hamna kitu wao maandamano tuMwita Waitara ni kichwa jamani tuacheni chuki mimi nawasapoti wana Ukonga chagueni kichwa cha ukawa