Wana Simiyu tukutane hapa tujadili maendeleo ya mkoa wetu

Nkollolo

Senior Member
May 13, 2015
110
72
Wana Simiyu tukutane hapa tujadili maendeleo ya mkoa wetu na hali ya uchumi katika kipindi hiki kigumu.
 
Simiyu tunatekeleza Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Tayari tumefungua kiwanda cha maziwa ( meatu), Chaki (maswa) etc
 
Back
Top Bottom