Wana Rorya

Wana Rorya

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
1,750
Reaction score
253
Wanarorya tumuunge kijana mwenzetu SOS Peter Gallus Omollo kusimamia jimbo letu la Rorya ili tuweze kusonga mbele kimaendeleo.

Ukisoma hapa wambie na mwenzako tumuunge Omollo 2015.
 
Nasikia hairuhusiwi kutangangaza nia kabla ya wakati.... au ni kwenye uraisi tu...
 
Wanarorya tumuunge kijana mwenzetu SOS Peter Gallus Omollo kusimamia jimbo letu la Rorya ili tuweze kusonga mbele kimaendeleo.

Ukisoma hapa wambie na mwenzako tumuunge Omollo 2015.

huyo ndio anajiita peterjaluo wa JF?
 
Last edited by a moderator:
Owawa j nae anataka,lakairo ndo kwanza anafanya makubwa huku na mzee owan hotel nae yupo.jipangeni si mchezo
 
hayo majina yanapatikana kenya

kodhluoch. Mimmi nashangaa watu bado wanakuwa na majina yenye ukabila ndani yake,jifunzeni na muache kumwangusha mwalimu nyerere baada ya kazi nzuri aliifanya na kutuachia watanzania. Ni aibu kuona watu bado wanajivunia kujiita jaluo,jakine and the rest for what, give yourself and public name that benefit and will bring sense of unity to the roryan people.

Be educated and stop being learned.

Kodhluoch nimemjibu.sos peter aka jaluo.
 
Back
Top Bottom