Wana mtwara wana mtwara

Wana mtwara wana mtwara

Mtwara kuna nini? Mbona naona watu wamekuwa wakali sana. Hebu tuelezeni, kulikoni?
 
serikali ilingo`oa reli, serikali waliondoa mashine ya maji kitangari ikapelekwa dodoma,korosho zinaibwa tuuuuu!!!
 
serikali ilingo`oa reli, serikali waliondoa mashine ya maji kitangari ikapelekwa dodoma,korosho zinaibwa tuuuuu!!!

waambie na hao wanaotumiana msg kuwa j5 kinawaka tena,mm sifungi duka langu kwa mambo ya kijinga maana naona tunazidi kujitesa tu sisi wenyewe pasipokujua mwisho wake n nn kiukweli.
 
Hongera Ajira nje nje wa wanaotaka kuajiriwa, kwa wanaochagua kazi wasubiri wafunguliwe maofisi
 
huyu mtu ndo kaamua kwa nguvu zote kabisa hii miaka 2 iliyobaki kila kitu kiende kwao..... Bandari ambayo haina ulazima tayari,barabara tayari na sasa kiwanda cha gesi.... Ina maana hawjui reli na bandari zingeinua mkoa wa tanga AMBAO una bandari ya asili... Wanawanyonya mtwara kwenye bei ya korosho kinguvu , waliviua viwanda kwa kubangua sasa zao limedodora na bado wanawaibia, gesi ambayo labda lingeinua uchumi wa mtwara kwa kuwawekea kiwanda kwao kikawakwamua hawa watu nacho anakikimbiza kwao....


Wana haki ya kuchoma moto.... Nawaunga mkono wazidi kuchoma moto kila kilicho cha fisadi........
 
Mtwara tumedharauliwa sn na ccm na dola yao ya kifisadi. WANAMTWARA TUNAULIZA GAS ITAKUWA YA KITAIFA TU PALE ITAPOPELEKWA DAR NA BAGAMOYO?? Gas haitoki ng'ooo....Mkwereee ni m-binafsi sn yani anataka miaka 2 iliyobaki kila kitu apeleke kwao. JAMAN J5 HAKUNA HUDUMA YEYOTE ITAFANYIKA HAPA MTWARA KWA LENGO LA KUSIKILIZA MSIMAMO WA SIRIKALI JUU YA KILIO CHETU NA KUPELEKA UJUMBE KUA HATUTAKI BOMBA JAMANI.
 
Back
Top Bottom