Wana MMU wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa

Wana MMU wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Kuna ujinga ambao nimeuona ukiandelea hapa JF hasa MMU kwa miaka kadhaa kwamba mwanamke anatoka nje ya mahusiano au ndoa kwa sababu ya kutokufikishwa kileleni. Ni ujinga wa hali ya juu, najua watu wengi wameangamia kwa sababu ya mafundisho haya potofu.

Cha ajabu watu hawajiulizi kwa nini katika swala la mahusiano ni mwanaume ndiye anayeongoza kutoka nje ( Kwa sababu mara nyingi mwanaume ndiye anayechukua hatua ya kumshawishi mwanamke katika swala la mapenzi) lakini yeye ndiye mtu wa kwanza kufika kileleni? Labda awe na mgegedo feki!

Kila mwanamke ana requirements zake katika swala mapenzi, asipokuambia kwa uaminifu anataka kufanywa au kufanyiwa nini, utajaribu kila namna lakini ni kazi bure! Na wanawake wasivyo waaminifu, atakavyokuona unahangaika sana na juhudi zako ni kutaka kumridhisha atakupa emotional support na hata kufake orgasm ili ujione umemfikisha. Halafu utatuletea uzi kujisifia na kuwalisha sumu wenzako kwamba ukitaka kumfikisha mwanamke fanya hivi. Kumbuka mwanamke anaweza kukuambia ufanye jambo katika mapenzi ambalo hata yeye hajisikii kabisa umfanyie kwa sababu tu: alishasimuliwa anataka aone itakuwaje, alishafanyiwa na ex wake anataka aone kama na wewe unaweza ila haliimpi feelings zozote bali tu anataka kujikumbushia, au kwa sababu amekusoma na kuona una mlengo wa kukifanya au kukipenda, au hana sababu ya maana bali anataka kukuonyesha kwamba mpo bega kwa bega katika swala la mapenzi, au anataka umwone mbunifu. But you do all those in vain wala akili na moyo wake havisadiki.

Hii ni ajabu ya kenge kukimbia manyunyu na kuingia majini! Sasa kinachoaminishwa hapa MMU na JF kwa ujumla na hata nje ya JF ni kwamba:

Bwana ee, ukitaka mwanamke atulie kwenye mahusiano au ndoa fanya yote au moja ya yafuatayo au uwe na hizi sifa (ndio mafundisho ya threads nyingi zilizojaza serves za JF): Utasoma kwa mfano:

Hakikisha unamgegeda kisawasawa. Kisawasawa kivipi? kwa kutumia nguvu nyingi? Haraka haraka? Siku nzima? What actually do you want to mean? Kila mwanamke anapokuwa kwenye mahusiano ni moyo wake ndio unaojua alichokifuata.

Licha ya mwanamke kuwa na wewe kwa sababu ya hitaji/mahitaji lake/yake maalumu, ambalo pia laweza kuwa ni la muda mfupi tu, kama:

1. ametaka/amekubali tu kusex, just for tha single moment ( wewe kwa akili yako butu ukaendelea kumng'ang'ania)

2. kula hela zako na kusepa (badala yake wewe unamng'ang'ania)

3. kuonja tu mtu mwenye haiba/sifa (e.g, mwenye kazi, urefu, ufupi, rangi, maumbile, etc.,) fulani (kuna siku namsikia mwanamke mmoja anamwambia mwenzake sijawahi kuonja mwalimu, sijui ana ladha gani, yaani anavyoongea, anavyobembeleza, au kufanya mkiwa kitandani)

4. Ameambiwa watu wenye mwonekano fulani physically wapo vizuri (subjective) kwenye sex, lakini anakuwa na hamu ya kujaribu na anapojaribu anakuta patupu lakini anaishia kukupa masifa fake kibao (na wewe unakuja na majigambo humu)

5. Anataka ndoa tu basi, kwa hiyo atakukamata kwa staili ya ujinga wako

6. Anataka kujiassociate na mtu mwenye status fulani, kwa hiyo njia ya kumpata ni kupitia mahusiano

7. Amekubali/anataka tu kujiridhisha kimapenzi na mtu yeyote, hana chaguo (halafu wewe unajiona alimasi, ati umechaguliwa au kupendwa)

8. Kuna rafiki au jirani zake wanaona kama vile yeye hawezi kupata mwanaume, anatafuta garasha lolote la kupigia bakora

9. wanawake wengine wanadai kutafuta mwanaume yeyote ili aondoe nuksi na kusafisha njia ya kumpata mwingine anayemfaa

10. Kuzaa tu na wewe, na hana mpango wa kuoana

11. Kukuharibia mahusiano yako mengine. Amekuona una mchumba/mke, tena huenda ni rafiki yake, kwa hiyo anajiingiza kwenye mahusiano na wewe ili kuinflict wivu (ujinga nisioukubali) na kuwaachanisha

12. Sababu za kiganga, hasa ndumba

etc.,

Kwa hiyo tunaona kimsingi mahitaji ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi ni mengi na yana varying degrees of complexity. Katika sex usifikiri kwa sababu juzi ulimfanya mwanamke kwa staili fulani na akaonekana kuridhika basi kila mara anatakiwa kufanywa hivyo au hata wanawake wengine wanataka hivyo, unajidanganya na kupotosha wengine.

Mwanamke anatoka nje ya mahusiano kwa sababu kuu (pamoja na hizo hapo juu):

1. Boredom (kama ilivyo kwa wanaume). hata kama una staili milioni 100 (usikute zingine zinamchosha na kumwuumiza isipokuwa anakuvumilia tu), lakini yeye kuwa tu na wewe mara zote ni michosho, why shouldn't she test something brand new? Kwa hiyo mwanamke anakuwa anasukumwa na her infinite nature and curiosity to sexually test beyond what she experiences

3. Her attempt to free herself from captivity, to regain freedom by breaking bondage and confinement to a single person, place or situation. Because her nature constantly tells her she lives the life that betrays herself. Unwillingness to be limited, controlled and infringed by circumstances. Trying to free herself from imprisonment of desires, emotions and feelings

3. Ugomvi usioisha, bila kujali kosa ni lake au la mwanaume. Kama ugomvi haujatatuliwa mapema, akili ya mwanamke inaweza kumtuma kwenda nje ya ndoa akidhani analipiza kisasi au kutafuta peace of mind


Mwisho kabisa, elimu kuhusu mahusiano ni "contingent".
 
ushauri wa kuzingatia sana asante sana kwa maneno yenye ukweli
 
mapenzi hayana formula ......any way yote yaweza leta matokeo mazuri au mabaya its just matter of time
 
mapenzi hayana formula ......any way yote yaweza leta matokeo mazuri au mabaya its just matter of time

naomba sumary best imekuwa ndefu nimeshindwa kusoma yote lol
division ya mwisho kabisa sio 5 itakuwa inanihusu
 
naomba sumary best imekuwa ndefu nimeshindwa kusoma yote lol
division ya mwisho kabisa sio 5 itakuwa inanihusu

ukiwa na dollar zako kadhaa unahitaji kuficha kwa ajili ya wadokozi watanzania basi ficha kwenye pages za kitabu.
 
Back
Top Bottom