Wana MMU, naumwa dengue.

...mmh pole kiongozi,ngoja nisepe usije ukaniambukiza...
 
Wakuu nawashukuru sana kwa kunifariji. Nimeamka kidogo afadhali tofauti na jana, japo bado nipo kitandani. Joto limeshuka, ila kichwa bado kinauma, viungo pamoja na macho kwa mbali. Tafadhali mwana MMU ukisikia una dalili za malaria kwa kipindi hichi usimeze dawa. Vyema upime dangue, malaria na typhode utambue afya yako. Kuna jamaa namfahamu na sasa hivi kalazwa kwa kujiamulia kumeza dawa akihisi anaumwa malari, kababuka mwili mzima.
 
Pole sana kwamtoro Mungu akuponye haraka na akurejezee afya yako mara dufu.
 
Last edited by a moderator:

sekta binafsi hadi binafsi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…