Wana MMU, naumwa dengue.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Naombeni maombi yenu. Dalili nilizo zisikia kuumwa na kichwa, macho, viungo vya mwili, kichefu chefu, joto la mwili kupanda. Kwa sasa nipo hapa hospital. Majibu yametoka, nasubiri kuchoma sindano ya plazadol kisha kesho niendelee na vidonge vya tramadol. Chakushangaza nipo zahanati ya serikali, lakini inachaji elfu kumi ya kupima dangue, kweli hii ni haki?
 
Mkuu usiangalie hela ulotoa angalia afya kwanza....upone haraka
 
Mkuu usiangalie hela ulotoa angalia afya kwanza....upone haraka
Asante mkuu, tatizo sio kutokuwa na pesa. Tatizo huu ni ugojwa wa mrupuko na wanao uguwa wengi wa kila aina ya kipato. Kwa nini serikali isitoe bure vipimo hivi kwa watu wote.
 
Asante mkuu, tatizo sio kutokuwa na pesa. Tatizo huu ni ugojwa wa mrupuko na wanao uguwa wengi wa kila aina ya kipato. Kwa nini serikali isitoe bure vipimo hivi kwa watu wote.

Kwani walitangaza ni bure? Sijui kama Tanzania tumefika huko mkuu
 
Pole sana...
Hela inatafutwa uzima hautafutwi.....toa hata wakisema laki
 
Vipimo hiv serikali ilitangaza ni bure...labda ngoja nikuulize swali umepewa risit.?
Mimi sikulipa cash sababu nimeshikwa mkono na Dada yangu ambaye ni staff. Ila watu wote kabla ya kupima wanatoa hiyo pesa makaribishoni. Nitaku pm jina la zahanati ipo wilaya ya temeke.
 
Mimi sikulipa cash sababu nimeshikwa mkono na Dada yangu ambaye ni staff. Ila watu wote kabla ya kupima wanatoa hiyo pesa makaribishoni. Nitaku pm jina la zahanati ipo wilaya ya temeke.

Pole sana Mkuu ila cha kwanza Tiba hiyo mambo mengine tutatudi Baada ya kujiskia nafuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…