Utafiti mkubwa uliothibitishwa wa Dr Welsh na wenzake wa hosptal ya Royal Edinburg Uingereza umebaini kuwa wale wanaofanya mapenzi MARA MOJA KWA MWEZI wako katika hatari ya kufa mapema ukilinganisha na wale wanaofanya mapenzi MARA MBILI KWA WIKI.
Dr Welsh anasema tendo la ndoa ni Afya hivyo linapunguza msongo wa mawazo na kumfanya mtu apate usingizi mzuri.
JE WANA MMU MNAKUBALIANA NA HUO UTAFITI?
Kuna ukweli kwa kiasi kikubwa, why? during sex intercourse your whole body will be active so kunafaida nyingi kuliko hasara. Angalizo kila jambo lina faida na hasara hata kama ni ndogo.. tumia common sense.