Una maoni gani kuhusu hili boss ?sawa
Mimi sijaiga ila nimeona wao wana-practice sana mtindo huo wa ndoa/familia. Ila binafsi sijawai hisi deni la kuwa na mtoto.Mkuu acha kuiga kila kitu kutoka huko marekani na ulaya. Vingine vinaendana na DNA yao na si yetu!
Kwanini wa marekani hawataki watoto ?Unajua ni kwa nini Wamarekani huwa hawataki watoto au unaiga tu? Unajua ni kwa nini hata wakizaa ni katoto kamoja tu au tuwili?
Unajua ni kwa nini sisi kuwa na watoto ni muhimu (sana)?
Kwani dada angu ukishakuwa na watoto hutamuitaji tena mumeo ?sasa huko ndoani mtakuwa mnafanya nini?
Si uwe padri tu umtumikie Mungu
Asante. Kinaonekana cha ajabu sana ?Fanya kitakachokupa amani..ila fikiria faida na hasara ya unachotaka kukifanya huko mbeleni.
Ni sababu gan?Unajua ni kwa nini Wamarekani huwa hawataki watoto au unaiga tu? Unajua ni kwa nini hata wakizaa ni katoto kamoja tu au tuwili?
Unajua ni kwa nini sisi kuwa na watoto ni muhimu (sana)?
Asante kwa kunipa moyo kakaYou are very normal. Wanawake wasiotaka watoto pia wapo
Kutia nnatia ndo mana nataka kuoaLakini kutia unatia? ama ndio wale wa kulala na mwanamama halafu wanaishia kuugulia maumivu ilhali chiu wanautaka?
Ni kweli ndizi zinazaa lakini hazina uwezo wa kuamuaHata ndizi Zinazaa!
Kwani mwanamke ukishazaa nae watoto wajibu wake unakuwa umeisha ndani ya ndoa ?furaha ya maisha ni watoto hasa wa kuwazaa mwenyewe,, kwahivyo mkuu acha kutulisha matango pori sema tu ukweli kuwa una tatizo la kutopata mtoto basi,, ikiwa ni kweli sasa kuna ulazima gani wa kuoa ?,