Wana Mbeya leteni solution ya matatizo yetu

BORGIAS

Senior Member
Jun 3, 2012
134
57
Tanzania_Mbeya_location_map.svg
wana kagera wana thread yao kwenye jukwaa hili la siasa kujadili changamoto na solution ya matatizo yao.

Nimeona ni vyema nikaweka uzi hapa tukajumuika wana Mbeya wa JF na hususan kwenye hili jukwaa la siasa tukapeana mawazo, changamoto na solutions za matatizo yetu na bila kusahau contacts za kila namba

Kagera wameanza wengine tunafuata maana tushaambiwa na watawala tujikwamue wenyewe kisiasa,uchumu,na kijamii
 
Kagera na Bukoba wameanza wengine tunafuata maana tushaambiwa na watawala tujikwamue wenyewe kisiasa,uchumu,na kijamii
eti mkuu! unaweza ukawa unafahamu gharama ya kutoka Kagera hadi Bukoba, kuna jamaa yangu anataka akate tiketi ya basi la kesho kutwa.
Naomba umsaidie tafadhari, maana hata mimi sijui.
 
Back
Top Bottom