Wana JF wa Morogoro.

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
Haya, njooni msamvu kunipokea, baada ya safari nyingi za hapa na pale narudi moro, . .i hope kamji ketu hakajabadilika saana. . .
 
Utanikuta nakusubiri, umesema umevaa shati la njano , suruali nyekundu na raba za blue eeh?..
 
Umeona vibaya, shati la machungwa, suruali ya pink na viatu vyekundu na koti kuubwa la njano. Nimetoka eeh?
 
Aah kumbe nilikuchanganya na huyo jirani yako uloketi nae, umetoka sana DM... Unajua kupangilia rangi lol.
 
2po cwa xana, ukirudi ntakupa offer ya kukupeleka kaumba 4 dis nyt upumzishe akili yako.
 
Hahaha, kama ambavyo sharobaro hanywi sayona, na mie kaumba hata kwa bastola kichwani siendi
 
Aah kumbe nilikuchanganya na huyo jirani yako uloketi nae, umetoka sana DM... Unajua kupangilia rangi lol.

Nlifundishwa na anko angu, tozi wa enzi zile za kuchana way.
 
Hahaha, kama ambavyo sharobaro hanywi sayona, na mie kaumba hata kwa bastola kichwani siendi
Nisaidie anamaanisha nini manake naona umemwelewa!.. 2po - tupo, cwa -???, xana - sana???
 
Mwaka huu kazi yangu kubwa kupokea wageni mikoani... Akitokea wa mbeya pia atanikuta stand...

Mbona nilikuja huko juzi hata hukunipokea, nikakaa pale mwanjelwa na mabegi yangu mpaka nikachoka.
 
Anko mkare mtu wangu lol... Mbona hufiki, jua linazidi kuwa kali bana afu mie sijabeba hata hela ya maji.

Pole jaman, nenda hapo pembeni ya msamvu kuna kibanda cha makuti unywe maji tani yako dearest, au nitumie no yako ya voda niku m-pesa,
 
Mbona nilikuja huko juzi hata hukunipokea, nikakaa pale mwanjelwa na mabegi yangu mpaka nikachoka.
Ulikuja kimya kimya ndio mana... Afu si una ile namba ya airtel mbona hukupiga?
 
Pole jaman, nenda hapo pembeni ya msamvu kuna kibanda cha makuti unywe maji tani yako dearest, au nitumie no yako ya voda niku m-pesa,
Hiyo niliyobeep nayo ndio yenyewe...nitumie chapu nipooze koo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…