LADDY PEPETA
Member
- Jan 18, 2012
- 26
- 7
...,natafuta mume mwema ataenikubali kwa hivi nilivyo.
sasa unahitaji mume au watu wa kukusomesha?
ukoje dada?
sasa unahitaji mume au watu wa kukusomesha?
ukoje dada?
Aliishia kidato cha pili? maswali gani haya Freema??
BTW: You are missed.
Mimi ni mnene kiasi mweupe(natural)si mfupi c mrefu
same here, ulipotea potea. Kheri ya mwaka 2012 na pole kwa msiba.
Kuhusu 'Lady pepeta' my dear... ukisema 'nilivyo' inamaanisha umbo na tabia. Sidhani kama kuishia form two kunamkosesha mume. Kama alivyosema ndugu Boss, labda kama anatafuta wa kumsomesha. Kama issue ni mume, sidhani kama kuishia form 2 ndiko kunakompelekea kuwa mpekwe. By the way, remeber hapa ni JF, hakuna kumeza desa zima zima.
Asante. Remain focused, achana na hizi habari za kutafuta mume mtandaoni usijetuletea kesi za kukatazana kuingia mitandaoni bure.
kwa sasa nahitaji mume
Kuna kitu nilikuwa nimesahau Lady Pepeta...... Jana kuna kaka mmoja aliweka thread ya kumtafuta mwanamke haswa ambaye ametendwa, naona kama una vigezo....tafadhali tafuta hiyo thread...all the best!
yaani tu jina ulilochagua lanipa utata
Why lady pepeta? Unawapepeta sana?
elimu sio tija sana
wewe kwa sasa unafanya shughuli gani?
Anatafuta mume atakayemkubali jinsi alivyo...
Hupendi kusomesha wewe?? In case akitaka kuondokana na unyanyapaa....lol
kila la heri bi dada!kwa sasa unaishi wapi?je ukimpata ambaye atakuendeleza ki elimu upo tayari?ukafanya mtihani wa QT na baadae wa kidato cha nne?
Aliishia kidato cha pili? maswali gani haya Freema??
BTW: You are missed.
lady pepeta, unahitaji mme mwenye vigezo gani?
mbona unamjibia wewe maswali?