Wana-JF, Naomba msaada wenu

Wana-JF, Naomba msaada wenu

mamama

Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
24
Reaction score
3
Kama Tanzania tunategemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wetu je ni sawa nikasema tunategemea "a paralysed backbone"'???? naombeni msaada wa importance of agricuture in tanzania's economy
 
Hii habari ingepelekwa jukwaa la uchumi ungefaidi kweli na maushahuri ya maana wanatoa kule... Pekua pekua lazima utakuta swali lilisha jibiwa hili.
 
Back
Top Bottom