Wana JF naomba msaada au ushauri

Wana JF naomba msaada au ushauri

okech

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Naomba kama kuna mtu anajua fundi wa microwave ya digital naomba anisaisidie maana nimeangaika sana kila fundi anasema ni ngumu kumpata fundi microwave za digital.

Asanteni.
 
Uko mji gani? Dodoma tupo fundi mzuri sana wa electronic microwave, alinitengenezea ya kwangu mwaka juzi mpaka Leo bado iko bomba
 
Mimi namjua fundi pale Kariakoo ni mzuri sana kwa kurekebisha Microwave za Analogia. Wewe ndugu yangu unaishi sehemu gani Tanzania?
 
Mimi namjua fundi pale Kariakoo ni mzuri sana kwa kurekebisha Microwave za Analogia. Wewe ndugu yangu unaishi sehemu gani Tanzania?

Mimi niko Dsm naomba kama ukinisaidia namba yake ya simu au nipe direction ni sehemu gani ndugu yangu
 
Back
Top Bottom