mwali hili si jukwaa la uongo naona umeandika break wapi ameandika break m nimesoma bleack ndio maana naendeleea kutafuta kamusini toka juzi anyway kama ni hiyo aje atuelezea anamaanisha break ajibiwe ila vya kujazi naviogopakwanza kabisa karibu jf. Pili nadhanni hili sio jukwaa husika
tatu sidhani kama vyombo vya usafiri vya angani vina "break" kama za gari.
Kuna honi ila inatumika on the gorund, na vinaweza "kusimama" angaani
kwa mambo zaidi kuhusu helikopta na ndege namwita mtaalam wangu kambaku
ahahahhahhahhaha kuna wakati huwa najilaumu sana nisipoingia jf !mambo yenyewe ndo haya! Kaunga si tulikubaliana uwe unanistua ukikutana na zitu kama hizi!ahahhahahha sasa jamani lini ningejua ndege ina kitu kinaitwa bleack!ehehehhe uuuwih! muniwache!
Answer:Mkuu hebu mjibu mwenzio kama ndege zina "bleack" bana!!!
[h=1]Does airplane have a horn?[/h]haki ya naniiii
ha ha haaaaa
wapi Pdidy atuambie kama ndege zina "bleack" khaaa,
dogo haukupita hata kwenye ule mtihani mliofanyiwa na serkali?