kuna kanuni initwa RFC (Read Fucken Manual) . Hii itakusaidi kujua kifaa au vifaa vyako vinafanyaje kazi na kurekebisha.
Kaa hauna Manual nenda kwenye official website ya samsung itakuwepo. Hapo kwenye website ukienda sehemu ya suppport search ukaandika formating phone xyz utapata solution.
nadhani hata ndani ya hiyo CD kutakuwa na manual ya hiyo simu. na kwenye manual wanaelza jisni ya ku reset phone to factory
Otherwise kuformat simu yako jaribu hizi code za samsung ambazo nimegoogle
*2767*2878# or *#7370# or *#7073# or *#69694948404*#
Ikishindana ilete zero brain hatushindwi kitu as long as internet inafanya kazi