kanishangaza kweli,hivi mkuu Tz mirembe iko wp?nijue kabisa ila bado namchunguza kama kweli hazitoshi
wapambe ni watu wanaokukubali kwa jambo flaniUjue Mkuu jinsi wewe unavyomchukulia mtu siyo lazima watu wote wanamchukulia hivyo. Ama seti wa watu unaohusiana na vizuri ni tofauti na ya mwingine. Ungemwacha dada akachambua mwenyewe yupi anafaa na yupi hafai. Labda akikumbana na shida ndo umuelekeze kuwa fulani ndo alivyo kama na yeye kamhukumu kama wewe ulivyomhukumu.
Pia assuming that you're a male, how on earth do you have 'wapambe'? kwanza ndo nini?