Wana Jangwani ni wakati wa Vitendo

Mujwahuzia

Senior Member
Nov 17, 2011
137
31
Kwa wanachama na wapenzi wa Dar Young Africans S.Club. Nawaomba muda huuu tuachane na propaganda za watani zetu wa jadi yaani Simba S.Club wenzetu wanajiimarisha katika kujenga kikosi chao wakiwa na hazina ya kutufunga magoli mengi ya historia yapayo 6mwakaaa........ magoli ........5.....mwaka 2012 kwa bahati mabaya Timu yetu ya Jangwani bado ina historia ya kufungwa magoli mengi kila wanapokutana na sisi wenzetu wanaitumia nafasi hiyo sisi bado tunashikilia rekodi ya kuwafunga mara nyingi lakini sio kwa magoli mengi hivyo nawashauri viongozi wapya na sisi tutafute upenyo angalau nasi tupate magoli kama kumi hivi tusikae kwenye malumbano tufanye vitendo timu nzuri tunayo kwa sasa ikiongozwa na Beki tuliyemnasa kutoka kwao ingawa kiongozi wao amesema hatocheza msimu ujao naingiwa na wasiwasi kwani kila wanalolisema mara nyingi linakuwa kweli. sasa hivi akili yao ipo kwa Bahanuziiiiiiiiiiiiiiii ukweli ukoje??????????? kwa wanayanga.
 
Back
Top Bottom