Wana Jamiiforums, nauza Smartphones

Wana Jamiiforums, nauza Smartphones

CHIKITO

Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
44
Reaction score
4
Simu zinapatikana hapa kwangu kwa bei nafuu, hata mwenye bajeti ndogo anaweza jipatia smartphone yake nicheki olx: collamrisho zoomtanzania, na instagram @goodkidstore.

Namba yangu hii hapa: 0714203090. Napatikana jijini Mwanza shipping nafanya pia. Nione whatsapp kwa picha na biashara.
 
Weka aina ya simu ulizonazo,bei elekezi na picha hapa hapa,ndio utaratibu (usio rasmi lakini)
 
oi upo mwanza sehem gan coz nami nipo mwanz.bajet yangu ni 70 je ntapata smarth
 
oi upo mwanza sehem gan coz nami nipo mwanz.bajet yangu ni 70 je ntapata smarth

Nipo mwanza mjini mkuu kwa 70 ongeza kidgo zilizopo ni huawei y300 kwa laki na 30 na samsung ace 2 kwa laki na 20.. tu.
 
Weka aina ya simu ulizonazo,bei elekezi na picha hapa hapa,ndio utaratibu (usio rasmi lakini)

Samahani rafiki mtandao haupo vizur apa nilipo nimeshindwa kuzi attach apa apa kwene thread.
 
Back
Top Bottom