wana habari

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
hii ni habari iliyopo kwenye gazeti la metro (UK) leo tarehe 5/3/2013.
soma hapo palipo zungushiwa kwa peni.
 
Wazungu ndo wanaoleta fujo Africa na wala sio waafrica si unaona wao hawajui hata wanachokiandika ili mradi tu heading ni vifo basi
 
Wazungu ndo wanaoleta fujo Africa na wala sio waafrica si unaona wao hawajui hata wanachokiandika ili mradi tu heading ni vifo basi

yaani huyu kilaza kati ya vyote vilivyotekea kenya hicho ndio pekee yeye na muhariri wake walivyo ona vyafaa kuripotiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…