Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,203
- 5,703
Unajua Dar es salaam ina wakuja na wazawa wake, wakuja tumekuja na mapya mengi, ingawa wazawa wapo, wengi wapo nje ya mji, wachache katikati ya mji. (wamefichwa).
Nitoeni katika mkwamo huu, hiKi kieneo kutoka bonden barabara ya tegeta ni TANGI BOVU AU TANKI BOVU maana kila siku nasikia jipya kati ya mawili hayo. aghalab wengi wanapaita Tanki bovu wakiwepo makondakta wa magari na hapa jukwaani nimeona hivyo mara nyingi. wachache wanapaita Tangi bovu. (niseme wazi nami nimepahita hivyo miaka yote ya kuwa hapa).
Fumbueni fumbo hili wana dar es salaam haswa.
Cc FaizaFoxy

Last edited by a moderator: