Wana chitchat watoa move ya kutisha,fatilia hapa

Wana chitchat watoa move ya kutisha,fatilia hapa

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
Move hiyo sijajua ni nani stering,utanisaidia;twende pamoja.

Namuona stering ni muhubiri,n anaponya watu na anafanya miujiza kweli,nikiwa naangalia move pembeni yangu yupo Mpenda Yesu ananiambia huyu steringi namjua,alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe wakati ule.sikutaka kumsikiliza sana kwani nilikua nipo makini kufatilia move.

Stering akaingi katika nchi ya jf,akaenda mji wa chichat akiwa na kampani yake kama ifuatayo:- Jiwe Linaloishi Erickb52 Slave C6 St. Paka Mweusi KakaKiiza kitalolo Chimbuvu watu8 Free Thinker figganigga na Judgement,akawa ana endelea na kazi yake,kafanya maajabu tena akawa anajiita mfalme wa wafalume, wacha Baba V achachamae,atawezaje kujiita mfalme wa cc wakati Invisible yupo? Nicas Mtei akadakia,"huyu mshikaji tumfanyie mizengwe akamatwe bwana!" Mipango ikafanyika,wakati mshikaji(stering) anaendelea kupiga kazi na kundi lake machale yakmcheza;akawaambi washikaji zake jamani eeeh,tazama bado kitambi kidogo hamtaniona,bado kitambo kidogo tena mtaniona.washikaji zake wanashangaa;baadaye akawaambia tena wewe @6 pamoja na kuwa ni mshikaji wangu wa kitambo lakini uyakuja kunikana tena mara tatu kabla jogoo hajawika.

Upande wa pili mipango imeiva ya kumkamata mshikaji,anakuja Bishanga anahera za kutosha,si unajua tena bepari la kihaya Bishanga anamtafuta Erickb52 na kupanganaye dili la kumkamata mshikaji wake yule stering erick b52 ankamata mkwanja wa maana inbakia utekelezaji.mshikaji akiwa kwenye pilik za kazi mara anamcheki erick b52 anatoke na kumbusu ghafla inatokea kundi kubwa la majamaa wana dhana zote za kishali,wanamkamata mshikaji(stering) na kwenda naye mpaka kwa Ruttashobolwa na hukumu inatoka kuwa iwe ni kifo tu.

Mshikaji anapigwa kinyama na wale majamaa wenye dhana zote za kishali,wanambebesha bongo la gogo,wanampeleka kwenye mlima ili wamtundike huko,njian wanakutana na Mu-sir akiwa pamoja na Filipo mara jamaa anawaungnish na mshikaji(stering) wanaendanao mpaka kwenye mlima huku wakichezea kichapo.

Pembeni nawaona akina Remmy Kig'ast charminglady Mamndenyi Kipipi Beibe nastry cacico Nivea @ na akina mama wengine kibo wanamuone huruma mshikaji wanalia ile mbaya,mshikaji (stering) akawaambia kwa huzuni huku akiwa kachoka mbaya na maumivu kibaao "msinililie nendeni mkalilie watoto wenu".

Majamaa yakampeleka mshikaji(stering) hadi mlimani yakamtundika,yakamvua nguo,wakazigawana.dah! Katika kipindi kigumu na mateso mengi jamaa akafa,akazikwa na ulinzi mkali.

Cha kushangaza na kufurahishwa mshikaji amefufuka watu hapatoshi kila kona ni stor,nimekutana na figganigga anatangaza mwenye nguo zake arudishe,huku nako Arushaone kazaliwa;yaani full shangwe

JE NANI STERING?....................
 
Last edited by a moderator:
humu hakuna mtu anaitwa NIKASI MTEI huyo ni wako wa humu ni Nicas Mtei
tena wakati unatamka legeza ulimi si kukaza kama wasukuma
 
Last edited by a moderator:
Ha,ha,ha,ha,ha,ha
Mkuu Raiza umenipa za uso,hahahahaha........unatafuta ugomvi na wasukuma wewe
humu hakuna mtu anaitwa NIKASI MTEI huyo ni wako wa humu ni Nicas Mtei
tena wakati unatamka legeza ulimi si kukaza kama wasukuma
 
Last edited by a moderator:
Ha,ha,ha,ha,ha,ha
Mkuu Raiza umenipa za uso,hahahahaha........unatafuta ugomvi na wasukuma wewe

Hujanipa like ujue kwa kukufundisha hilo jina
sasa mambo murua
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa dah muvi nimeikubali kinomi ila kwa vile ni yakibongobongo sitatia neno zaidi. Na stering namjua nimemuhifadhi rohoni mwangu!
 
Ruhazwe JR kwa hiyo nilimkanA mara tatu au mara sita?
 
Last edited by a moderator:
Wee jamaa, maandalizi ya mashindano ya warembo umeacha sasa umeingia kwenye uwanja wa movies?
 
Hii kweli serious na nikitangatanga yawezekana yakanikuta ya kitu chenye ncha kali,ngoja nifanye mchakato,niko kwenye hatua za mwisho,mkakati unafanyika,utekelezaji unaendelea,............................
nenda desktop unipe ile sasa zipo 1136 naomba yako iwe ya 1137 siriaz ujue
 
Daaaaah Ruhazwe JR hii movie imeniacha hoi hoi sana daaa aaa na! Hebu my akanana Passion Lady njoo uone movie hahahahahahaha

daa naomba msahama kwa kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa na kama case zingeendeshwa hivi wakati huu hakika watu wengi waengekuwa jela!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha.....your kanana your kalikwela Passion Lady umempa "mlizo" leo au?
Daaaaah Ruhazwe JR hii movie imeniacha hoi hoi sana daaa aaa na! Hebu my akanana Passion Lady njoo uone movie hahahahahahaha

daa naomba msahama kwa kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa na kama case zingeendeshwa hivi wakati huu hakika watu wengi waengekuwa jela!

Mshikaji umemuonea kumtwanga dhbu kali,au kwa sababu ya majibu yake?
"Wewe wa sem"
 
Last edited by a moderator:
Hahaahahahaha
kwakweli umenitia hatiani kuniweka kwenye case hii ambayo haki haikutendeka!

Hahahaha.....your kanana your kalikwela Passion Lady umempa "mlizo" leo au?


Mshikaji umemuonea kumtwanga dhbu kali,au kwa sababu ya majibu yake?
"Wewe wa sem"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom