Watu design hiyo wengi tumewashuhudia katika vilabu vya pombe wakiwa na kofia za chama chenu, Rangi iliyopo ni ishara tosha kwani kamwe huwezi kukuta kijana wa CHADEMA kavaa kofia yenye rangi hiyo.Umeona wapi hiyo kofia imeandikwa CCM?
Hivi umebandika picha bila
kugundua kama huyo jamaaa ni Green Guard
wa CCM kwani kofia
inajionyesha huyo ni Mwana CCM katandika Konyagi
kisawasawa
mkuu, unasema ni green guard halafu unaonyesha kofia ya njano. hivi si hata yanga nao wanavaa kofia za njano? green guard kofia zetu ni nyeusi
Ameweka picha ya green guard, ooh Chris lukosi utaknyimwa ile tenda ya ccm, iliyokufanya uhame chadema. Badala ungetafuta picha ya makamanda wewe umeweka picha ya green guard, sijui mwigulu akiona atakufanyaje...dah lengo lako ilikuwa uichafue chadema matokeo yake umeichafua ccm.chezea Mungu wewe...
Mkuu chama,Asichokijua ni kwamba vijana na watoto ambao wanakulia ndani ya Chadema wanaishi kwa matumaini na ni Imara kabisa kwani wanajua bado robo saa tuu. Waone sura zao,
View attachment 105180
Teh teh teh, utawafanya washabiki wa Yanga ambao wapo Chadema waondoke Yanga, waamie Azam.mkuu, unasema ni green guard halafu unaonyesha kofia ya njano. hivi si hata yanga nao wanavaa kofia za njano? green guard kofia zetu ni nyeusi
Ukabila gani kwani mimi nimetaja mkoa? Wacha wewe mbona wewe unaweka mapicha hakuna anayekuuliza?Ukabila umekupeleka mpaka kwenye sura? Yaleyale ya Rwanda ambapo hata Wandengereko waliokuwa Rwanda lakini walikuwa na pua ndefu waliuwawa eti ni Watusi. Ritz kumbe wewe hatari kiasi hiki?
Unachekacheka mwezi mchanga tayari? Vipi mama Mangula anaendeleaje na malaria? Zele picha umeshampatia Mangula?Teh teh teh, utawafanya washabiki wa Yanga ambao wapo Chadema waondoke Yanga, waamie Azam.