Wana CCM wachoma kadi Monduli na Arumeru

hizi ni zile ambazo CHADEMA wanafyatua kwa mashine zao, siyo za CCM hizo kawadanganye wajinga,
 
Warudishe tu hizo kadi tutabaki na wanachama wa ccm wakweli si watu wanaokaa kwenye chama shauri ya mamvi,no way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…