Jamani kuna wana ccm wanaeneza chuki ambayo mm nasema tusipo simama kama chama nakuonyana kwenye milango ya vyumba vya ndani itatusumbua sana kama chama huko tuendako. Nilazima tujuwe rais anasehem yake wakati wasaidiz wanasehem yao.
Chuki huleta hasira, chuki huleta uchungu, chuki huleta vita. Wapo watu wachache sana wanaleta chuki na kumfanya Rais aonekane kama sio kitu na yeye ndie mfadhili wa chuki.
Mimi nakataa nakataa tena kwa herufi kubwa.
CCM ni chama mama embu tuwe mfano. Tiss mulika mangi meza viongozi.