Wana-ccm tuanzishe na sisi m4c yetu kuitokomeza chadema"

Its too late brother, CCM will never be back like it used to be....the only alternative you can do is to be aside and wait to learn from CHADEMA on what it means by LEADING the state and not RULING....unategemea ccm itaamka leo....???? Hakuna kitu kama hicho, hizo ndoto...subirini kwanza muwe chama cha upinzani ili mjifunze namna ya kuongoza nchi na siyo Kutawala.....
 
Na sisi CUF tuige nini toka malumbano yenu? TLP nao yote ni upepo
 
Join Date : 26th April 2012
Posts : 38
Rep Power : 308
Likes Received 1
Likes Given 0

Pole sana. Kazi unayofanya wewe si wa kwanza kuifanya. Walikuwepo kina Mwita25, Faiza Foxy, Malaria Sugu, etc wameshindwa. Anyway Karibu sana JF.


bora umemwambia, afu umenikumbusha faiza fox: aisee mama alikuwa mbishi yule... hivi yuko wapi siku hizi. simuoni.
 

hapo umenena mkuu na kazi ya ccm hawana jipya zaidi ya kucopy and paste kila kinachofanywa na chadema na wameflisika kimawazo
 

Ya kazi gani. Kwani zile mlizozianzisha za 'MKURABITA', 'KILIMO KWANZA', 'ARI MPYA....', 'MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA' mmemaliza?
 
CCM hoiiii, no I mean oyee! Sasa mimi mwana ccm wa JKT niambie CDMA wametukosea nini hadi tufikirie kuwaangamiza? Infact naona wanatusaidia.
 
halafu hivi hamuoni aibu chama kama chenu chenye muda mwingi madarakani mnaishia kudandia mawazo na hoja za wengine kila uchao? katiba mpya mkadandia mkaishia kutojua muanzie wapi na kuishia wapi.

wahenga walishasema; you can copy ideas but not results.

it's just too late, you cant teach an old dog new tricks.
 
M4C mnataka ku-change nini?
Nilidhani sera ya kujivua gamba ililenga kuleta mabadiliko CCM
Unachosahau ni kwamba CCM imejipaka tope la uchafu, ufisadi na ulevi wa madaraka kiasi kwamba the only change you can master is for the worse
 
Pepe,hujashtukia tu kuwa hata Msafiri anampango wa kuiua ccm. jiulize kwanin hajabarik mawaziri waresign kurescue c2atn.
 
Hongera mkuu, hapo umenena, huu ndio u-great thinker.
Lakini unawapa shule ya nini hawa majuha?
Tuwaache wafilie mbali, wametesa sana watanzania, hata Mungu anaharakisha kuwapokea!
 
Hongera mkuu, hapo umenena, huu ndio u-great thinker.
Lakini unawapa shule ya nini hawa majuha?
Tuwaache wafilie mbali, wametesa sana watanzania, hata Mungu anaharakisha kuwapokea!
 
Hii mada ipo kichokozi,sababu ushajua kama humu jamvini wengi wetu tumefunguka! sasa nahisi ulitaka uone respond zetu! ukweli unaujua,na namna unavyojenga hoja unanipa mashaka! hata hivyo uliowataja wamekusikia! ingawa najua wewe ni mwenzetu ila unazuga tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…