Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki msidanganyike na propaganda zinazoenezwa na wenye dola na wapambe wao.Wapigeni chini siku ya uchaguzi maana wameshashindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
chagueni lema no 2 yaani ukanda huo uwe wa wabunge wa fujo,kesi, mahakamani,maandamano tofauti na watu wa hoja kama mnyika,zito,wenje,lissu
chagueni lema no 2 yaani ukanda huo uwe wa wabunge wa fujo,kesi, mahakamani,maandamano tofauti na watu wa hoja kama mnyika,zito,wenje,lissu
Ulimankafu nataka uwajue wale ni watu wa aina gani,hawawezi kudanganywa kirahisi niwatu wenye misimamo na wanajua haki zao baba!kazi kwa mwigulu na mihela ya lowassa
Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki msidanganyike na propaganda zinazoenezwa na wenye dola na wapambe wao.Wapigeni chini siku ya uchaguzi maana wameshashindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
Mkuu nenda kaongeze nguvu kampeni zikianza, huko utaeleweka zaidi.
vurugu unazoziona Arusha ni kutokana na CCM kutokukubali kushindwa na kuvunja katiba kwa kuchagua Meya bila kufuata sheria sasa watu wa huku sio kondoo wanazijua haki zao na hawakubali mtu achezee kura au katiba so wanafanya everything in place kusimamia hilo, wewe waone wanafanya fujo hata ANC, SWAPO, TANU FRELIMO nk wakati wanapigania ukombozi walionekana wa fujo,. kama huelewi siasa za arusha kaa kimya!!Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki msidanganyike na propaganda zinazoenezwa na wenye dola na wapambe wao.Wapigeni chini siku ya uchaguzi maana wameshashindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
vurugu unazoziona Arusha ni kutokana na CCM kutokukubali kushindwa na kuvunja katiba kwa kuchagua Meya bila kufuata sheria sasa watu wa huku sio kondoo wanazijua haki zao na hawakubali mtu achezee kura au katiba so wanafanya everything in place kusimamia hilo, wewe waone wanafanya fujo hata ANC, SWAPO, TANU FRELIMO nk wakati wanapigania ukombozi walionekana wa fujo,. kama huelewi siasa za arusha kaa kimya!!