Ila bado wanakeep rising in number-they are about 10-15 million in Egypt.Dini ya coptic Orthodox ililetwa na Mt Marko yule mmoja wa watu wanne walioandika injili kwenye miaka ya 64 AD. Papa Shenouda alipigwa marufuku na akawa kwenye exile kwa miaka 5 wakati Anwar Sadat. Lakini Hosni Mubaraka alipoingia madarakani alimruhusu Papa Shenouda aendelee kueneza injili takatifu na wafuasi wake. Jamii ya wakristu wa coptic inabaguliwa sana katika mfumo wa ajira na siasa hususam kwenye jeshi na polisi. Mwaka jana kanisa la Coptic Orthodox lilipata mapigo mawili baada ya vurugu za kuchomewa makanisa yao katika jini la Cairo
Ila bado wanakeep rising in number-they are about 10-15 million in Egypt.
kwenye siasa boutros ghali nazan ni mtu wa dini hiyo aliyewahi kuwa na cheo cha juu pamoja na political influence nchini Egypt
Na wao pia ni wakristo? nataka nifahamu tu?
Kama ndio tofauti na wakatoliki, walutheri na walokole wetu huku TZ ni nini?
Haya tunachangia: Wameikalisha maiti kwenye kiti cha enzi huku wameivalisha mapambo na makofi makubwa ! Wako bize kupiga picha na kuiaga ! Hivi maiti huagwa !?? Kweli akili zinapishana ! Kiongozi wao wamemfanya kituko !Mbona hamchangiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wana Jf vipi....
Au mko Mabwepande??????????????????
Tofauti yao wakristo wa Coptic wanaweka maiti kwa kiti kisha wanaiaga ! Na wa TZ wanaiweka kwa sanduku kisha wanaiaga ! La msingi wote wanaaga ''maiti'' !Na wao pia ni wakristo? nataka nifahamu tu?
Kama ndio tofauti na wakatoliki, walutheri na walokole wetu huku TZ ni nini?