Toyota ni usafiri wa kutoka sehemu A kwenda B,ila bmw,benzi ni zaidi ya usafiri you feel good ukiendesha.Kitu chochote kizuri kina gharama kukimiliki na kukitunza! Mfano: mke mzuri, nyumba nzuri, shule nzuri, kuishi mitaa mizuri, n.k. Mimi pamoja na gharama ya kuzumiliki hizi gari najisikia comfortable nikiwa barabarani kila mtu anapay attention na nikienda mahali nikapaki atakaye kuja kupaki karibu yangu lazima apaki kwa adabu na kuniachia nafasi ya kutosha nikitaka kutoka. Huwezi kuta mtu kapaki BMW/Benz alafu mtu akaja kupaki nyuma yako!
Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!
Hongereni!
Hahaha my kisses.Kuna gari zingine wanamiliki wababe tu hapa mjini,gari ina tank mbili na zote anaweka full tank full time,cc 4000,
Spark Plug tu ni laki na themanini,
Acha pesa imtambulishe mtu jinsi alivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji4]Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite [emoji3][emoji3]
Mkuu kwa hiyo unataka kusema vitz, passo na ist ndio nyingi zaidi hapo mjini ?.[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]dadeq watu wenye vipaso na vi ist na vi spacial and the likes asee mnaboa mkiwa lami yaan sio poa yan kdogo tu hujakaa vzur unaona lupasso huloo lumechomekea, ile unalukwepa unakuta luvitz nalo kulia lumeshasogeza pua yake yaan fujo fujoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole yao.*TANGAZO* .
kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari *BMW white namba T223 DPU*
Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess
Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon.
Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu.Wamevunjika miguu,
Wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.
Mwenye ndugu mfike Mombo polisi....
Jr[emoji769]
Duh pole yao.
Nakuelewa. Kabla sijamaliza kusoma nilihisi wote wamekufa.You can just imagine kama isingekuwa BMW
Jr[emoji769]
hapa town hv vigari vipo vingi zaid ya boda boda,,, na ndo vina tabia ya kuchomekea vikiwa lami...huwez kuta mtu anaendesha AUD,Range,Jeep au Discovery akakuchomekea hata kuwe na foleni kias ganiMkuu kwa hiyo unataka kusema vitz, passo na ist ndio nyingi zaidi hapo mjini ?.
Halafu nijuavyo mimi mtu mwenye gari aghali sana hawezi kuchomeka mbele ya gari nyingine.
Dah! Mkuu usiichanganye Crown na Vitz tafadhaliKama gari INA speed 240km/hr ukitembea hadi 180km/hr ni kosa? Hii ni Serengeti. Ukiiga ukafa usinitaje. Kumbuka hii ni BMW sio Vutz sorry Vitz au Crown!
So sad π’Supidi kari bira kuwa muagalifu mwangalifuView attachment 1374324View attachment 1374326View attachment 1374327
Don't make a promise you can't fulfill...
Niko na Vuzt kangu kazuri tu, nikiishiwa mafuta naenda kituo cha mafuta na handkerchief naigusisha kwenye pump nakkuja kuweka kwenye tank juu pale natembea zangu 15-20kmDah! Mkuu usiichanganye Crown na Vitz tafadhali
Jamani πππNiko na Vuzt kangu kazuri tu, nikiishiwa mafuta naenda kituo cha mafuta na handkerchief naigusisha kwenye pump nakkuja kuweka kwenye tank juu pale natembea zangu 15-20km
Mpaka kuliangusha hili aiseee umedhamiria, au amegonga mahali??Supidi kari bira kuwa muagalifu mwangalifuView attachment 1374324View attachment 1374326View attachment 1374327
Don't make a promise you can't fulfill...
Na kuchomekea wenzao barabarani.
Tatizo sio kuumiliki,tatizo kuuweka barabarani kila siku,wanasema kuwa namba moja si tatizo,tatizo kubaki namba moja,hiyo kitu ikianza kuwasha zile taa za faults utashangaa kuzi clear hela ya passo inakutoka,salute kwenu wenye hizo gari barabarani na mfungao vioo!!!!.Mkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!