Wametoka mbaali JOTI NA MPOKI

usituweke looser wako walipotoka na sasa atuoni tofauti labda kama walikutoa outing
 
Na walikubali kutumika na ccm wako wapi? waliwacheka wenzao kuwa wamefulia oho wamepigwa chini sasa wao wamepigwa vyote kwa pamoja
 
Mpanda ngazi, hushuka, Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, Ngoma ikilia sana hupasuka ......lakini.....Kuteleza sio kuanguka.....
 
kwani wamefanya nini jamani wengine tbc hatuipati
 
pigwa chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. wamefuliaaa
 
Wadau mbna kama jazba,hapa haiongelewi OJ KOMED anaongelewa JOTI N MPOKI.hebu tutoe coment za mana kimpango huo hatutamaansha kuwa ss n GREET THINKERS,,mnyonge mnyongen hak yake mpeni n matumain yangu mmesha wanyonga vya kutosha sasa haki zao wapeni
 
Kwani hawapo Arumeru ? Mbwiga kweli hawa wanyela,walijiona wamefiiiiika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…