Heshima Mbele Great Thinkers!!!
naomba kujua kama;
1.IST
2.HABARI NODE
3.POSTAL BANK
4.FHI360
5.TANESCO SACCOS
WAMESHAITA watu hata kwenye interview.
asante.
we nawe ni GT??
Mijitu mingine bana chefuuu
Hivi atajiajiri vipi wakati hata hela ya kutoa photocopy hana anaombaomba na anategemewa aajiriwe aokoe familia
haya mpe mtaji angalau alime pilipili nitakuona wa maana
We skil ucpende kukoment mambo ucioyaweza, umenikera na kunikerebua kshenz we m2 anaomba kaz wewe ujishaue tu cjui una kijikaz gan kinakupa jeur hvo, bas na wewe wasomeshe wanao wakajiajir. mzzzzzyu
sioo wakishua dizain medium hivi but am against lazy thinkers who only think of being employed as a way of making a living...try to think out of the box kuna oppoetunities nying sana tanzania watu hawajui....tu