Pole sana mkuu
Next time fanya backup ya vitu vyako muhimu sehemu tofauti tofauti, online, flash, external disk, cds nk
Asante sana kwa ushauri wako.......Nilikuwa kwenye process za ku-buckup nikaisha ofisini ili iendelee kuhamisha data kwahiyo wamekuja kuiba laptop pamoja na extenal disk......Pole sana mkuu
Next time fanya backup ya vitu vyako muhimu sehemu tofauti tofauti, online, flash, external disk, cds nk
Umeibiwa sehemu gani mkuuAsante sana kwa ushauri wako.......Nilikuwa kwenye process za ku-buckup nikaisha ofisini ili iendelee kuhamisha data kwahiyo wamekuja kuiba laptop pamoja na extenal disk......
Umeibiwa sehemu gani mkuu
Mimi walikwapua yangu mlimani city kwenye gari, katika kufuatilia walinzi wakaniunganisha na wezi nikainunua tena, nikakuta wamefuta kila kitu, sema uzuri nilikuwa na backup ofisini, desktop ya nyumbani na external disk huwa sitembei nayo na online pia, kwahiyo haikuwa tatizo
Kaka pole sana upo sehemu gani?
wewe uko wapi?
Mkuu,Pia sema wapi tukio limetokea na lini...the earlier the better....