Wamekwaa kisiki

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,468
Reaction score
119,622
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala
asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda
kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake,
MKE: Unataka nini we mpumbavu?
MUME: Nani huyo unamtukana?
MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda
urudi badae
MCHEPUKO:Nawewe pua kama poa
MKE:Miguu kama masaa mawili
MCHEPUKO:Masikio kama sichelewi
MKE: Ondoka hapa mjinga we. …… Akafunga
mlango
MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo.
 

Looooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…