jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Salaam,
Kwa wale wasikilizaji wa RFA watakiwa wanamfahamu mtangazaji mwenye hekima kubwa Ndugu Wambura Mtani,mara nyingi amekuwa akinishangaza sana katika kipindi cha Goodmorning Africa cha RFA katika segmentvya SOMO LA LEO kwani amekuwa akipindisha ukweli mfano amekuwa mkosoaji mkubwa wa Maandamano.
Lakini katika kipindi cha leo amefungua ukurasa mpya pale alipinga na kuonyesha udhaifu wa tume iliyoindwa kuchunguza kuporomoka kwa jengo DSM akidai kuwa tume imejaa watu ambao walipaswa kuchunguzwa.
Hoja yangu hapa kuwa Wambura Mtani amemaanisha kuwa hata TUME zinazoundwa na Serikali katika kuchunguza mambo mbalimbali si halali mfano TUME YA MAUAJI YA MWANGOSI,TUME YA KUTESWA KWA ULIMBOKA na tume nyingine za kisiasa.
Hivyo basi Wambura awe mkweli kwani ukiwa Muongo siku utasahau na Kujikuta umejizunguka..
Kwangu mimi naona kuwa Wambura Mtani amefungua ukurasa mpya na sasa abadike sasa na akosoe hata yale anayojifanya anayaona yako sahihi.
Yahya M mfikishie ujumbe huu..
Wasaaam