KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Mpiganaji Michael Richard Wambura bado anaendelea kuipigania haki yake inayotishiwa kuporwa na kikundi kidogo cha watu waliojipa mamlaka ya kuwachagulia wana simba mtu anaetakiwa kuwa kiongozi wao,huku wakionekana wazi kuogopa jina la wambura lisifikishwe kwa wanachama kisha waamue wao hatima ya wambura.Tayari rufaa ya wambura imeshapokelewa na TFF kupitia kamati yake ya nidhamu na tayari imeshapangiwa tarehe ya kusikilizwa.
Aluta continua...
hivi huyu jamaa mtu wa wapi maana anonekana anapenda sana kesi kila siku rufaa
Wenye mamlaka ya kumhoji maswali hayo ni wanachama wa simba kupitia sanduku la kura, sijui hawa wanakamati na kina azim na kassim dewji wanaogopa nini kumshtaki wambura kwa wanachama wamuadhibu kupitia sanduku la kura, wanataka kikundi jicho kidogo cha watu wasiofika kumi ndio watoe adhabu wao kwa Moana ya wanachama wote nchi nzima!Hayo majina ya akina Wambura naona wanapenda sana uongozi. Kwani kiongozi lazima uwe wewe. Inachosha jamani.