Wamasai wawapa sumu simba mbugani

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,729
Reaction score
3,511
Hii vita bora wamasai watolewe mbugani

Your browser is not able to display this video.


 
Umejuaje mkuu kwamba

1)Hiyo ni sumu wamepewa?
2)kwamba ni wamasai?

Tukisema umefanyika mchezo wa kuwafarakanisha wamasai na serikali yao tutakuwa tuna kosea?
Insue inajulikana, we unategemea wanafurahi kuona mifugo yao inaliwa au simba wanakuwa tishio
Na simba pia apo ni mbugani nao wanaongezeka, wamasai nao wanaongezeka, baada ya miaka 50 wamasai watakuwa wangapi,
Serikali inabidi ifikirie iwahi kuwatoa uko
 
Hizo mbuga zilianzishwa zikawakuta wamasai wanaishi humo.
Hazikuanzishwa, zilikuwepo au kuwekewa mipaka, je wasiongezeke, na wamasai nao wakiongezeka unategemea wasijaze mbuga ama
 
Simba wanaua watoto waachwe tu eti eeh, hyo mbinu wameitumia wamasai miaka na miaka ya kuishi na wanyama, sasa hii kujifanya kuwaondoa wamasai badala ya hao Simba ni uwehu
Sasa ni serikali ichague mbuga izidi kukaa humo simba wafe ama wawabadirishie wamasai maeneo
 
Simba wanaua watoto waachwe tu eti eeh, hyo mbinu wameitumia wamasai miaka na miaka ya kuishi na wanyama, sasa hii kujifanya kuwaondoa wamasai badala ya hao Simba ni uwehu
Kuna njia nyingi za kuwadhibiti simba kuuwa sio best solution......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…