Sheytwain aliwalazimisha kubaka, au kuua, au kufanya unyama? Si, unafanya kwa hiyari yako? Sasa vipi umtupie lawama Sheytwain, wakati mbakaji ni bin adam?
Kama wazo lili toka kwa Sheytwain, na wewe ukalikubari, sasa hapo ni nani mwenye kosa? Sheytwain au aliye consent na ku-execute wazo?