Wamarekani Wazidi Kuwachafua Waafghanistan:Ghasia Zazuka Baada Kuichoma Moto Qur an.

Sasa kama imehifadhiwa kwenye nyoyo za waja wa marehemu Muhammad mbona wanalalamika kwamba karatasi zimechomwa? Kilicho muhimu ni karatasi au iliyohifadhiwa kwenye nyoyo, kama kweli imehifadhiwa?

Umesahau au kupitiwa na hukumaliza kusoma paragraph ya mwisho katika post yangu. Je unaweza kurudia na kusoma tena ile paragraph??? Jibu lako lipo pale Buchana.
 
Sheytwain aliwalazimisha kubaka, au kuua, au kufanya unyama? Si, unafanya kwa hiyari yako? Sasa vipi umtupie lawama Sheytwain, wakati mbakaji ni bin adam?

Kama wazo lili toka kwa Sheytwain, na wewe ukalikubari, sasa hapo ni nani mwenye kosa? Sheytwain au aliye consent na ku-execute wazo?
Angalia katika kanuni za sheria ya makosa kama ya jinai,huu ni mfano tu wanasema:
Actus non facit reum nisi mens sit rea.
Si kitendo kinachomfanya mtu kuwa na hatia ya tendo ovu...bali dhamira ya dhati au nia ovu ya kufanya uovu...shurti iambatane na tendo lenyewe.
Mtu kama yeye, anashiriki katika tendo ovu (Actus reus) na sehemu ya nia ovu( Mens reus) ni shetani anaichochea au kushawishi mtu kupitia nafsi yake na ndo maana hatia inabaki kwa mtekelezaji kwa tendo na nia.
 
I think you will agree with me that Sheytwain amesha hukumiwa teyari.

Accordingly, your referenced citation is de facto and/or de jure. So, the issue/s here still are/is the people who decided to consent on the act of evil and are ipso facto by their decision and not the devil who did not enter a stipulation of agreement with the defendants/people.

Wherefore, why should you condemn the devil while he is already judged, inter-alia, the executors who knowingly and consciously executed the proposed act of evil without remedy?
 
Wherefore, why should you condemn the devil while he is already judged, inter-alia, the executors who knowingly and consciously executed the proposed act of evil without remedy?
the devil is,as a matter of fact, an assessory after the fact...that also its suffice to assert his accomplice.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom