Wamarekani Wazidi Kuwachafua Waafghanistan:Ghasia Zazuka Baada Kuichoma Moto Qur an.

Max,
Provocative act by the invaders...kama vile mtu anakuchania nguo uliyoianika kwa maksudi wakati nyingine imo mwilini...utachekelea tu!
 
Duh kale kaneno kamerudishwa tena, INVADERS,

What are they invading? Mimi njilifikiri hii thread inahusu kuchomwa kwa Koran? Sasa imegeuka kuwa INVADERS?!!!
 
Kwani ww unafikiria vp?
Wao ni nani hasa?
 
Kwani ww unafikiria vp?
Wao ni nani hasa?

Ndugu yangu Junius, tusichanganye dini na siasa.

Jamaa wa kule middle east, hilo ndilo tatizo lao, dini + siasa = halafu damu inamwagika bila ya sababu.

Kama issue ilikuwa ni kuchomwa kwa Koran, na kama Koran haichomeki kutokana na maneno yako, basi, ningetemea hao jamaa kuwazomea hao wanao daiwa kuwa wameichoma Koran ambayo haichomeki, lakini cha kushangaza, wao wakatengeza jiffy ya Obama na kulichoma moto, to them that is ok, lakini kama angetengenezwa Ayatolah na wamarekani na kumchoma moto, hapa teyari ngumi zingeanza.

Kaazi kweli kweli.
 
Ndugu yangu Junius, tusichanye dini na siasa.

Kuna vitu vipo wazi Max...vikifanyika vinajeruhi hisia na imani za watu...utakumbuka Dan Brown na Da VInci Code...ilikuwa ni igizo tu...si wangelikaa kimya tu na kuwaachia...kwani ni kweli Yesu Kristo alizaa na Mary Magdalena...si igizo...lakini inakera kwa mtu aliyelelewa kiimani na kuamini kinyume chake...vitu vinavyogusa imani vinamatatizo...kuna mtu kanambia huko Tz...kuna muigiziji filamu maarufu kajikuta matatani na watu wa dini kwa ku potray vitu vinavyodaiwa kudharau imani zao...najuwa hakuna aliyejeruhiwa bodily...but heartly.
Wamerekani hawachomi Ayatollah wanauwa tu.
 
Sawa Mkuu. Kwahiyo ni mocking ndio chanzo cha haya yote.
 
...and killings.

Come on, ... killings?

See these impeccable exhibits, and tell me who is doing it:
BAGHDAD – Iraqis vented anger Monday at a major security lapse that allowed two suicide truck bombers to penetrate what was supposed to be one of Baghdad's safest areas, killing 155 people, including 24 children leaving a daycare center.

QUETTA, Pakistan – Pakistan arrested 11 Iranians on Monday after they shot at a vehicle carrying smugglers on the Pakistani side of the border, officials said.

ISLAMABAD, Pakistan - A suicide bomber attacked a suspected nuclear-weapons site Friday in Pakistan, raising fears about the security of the nuclear arsenal, while two other terrorist blasts made it another bloody day in the country's struggle against extremism.

LAHORE, Pakistan -- Pakistani military forces Saturday launched a ground offensive against the mountainous frontier stronghold of Taliban and al Qaida extremists.

ETC ETC ETC
 
Max,
Umesema "...chanzo cha haya yote" sasa haya yote yalikuwapo kwa kiwango hiki kabla majeshi ya uvamizi...? they{invaders} are escalating the situation from bad to worse.
 
Just be real, ni nani huyo anaye jilipua na kuua ndugu zake?
 
The invaders are colliding people's heads to register their illegitimate presence...watasema mnaona hali ya amani si shwari...tunahitajika bado...Mkuu, Mahtama Gandhi aliaambiwa na waingereza...kuwa hawataondoka mpaka wahakikishe kuwa tofauti za kidini na kikabila zinakwisha ndo tukupeni uhuru. Gandhi aliwajibu dai lenu haliendani na ukweli uliopo na sera zenu za utawala yaani "wagawe na uwatale", akawaambia,ondokeni tupate fursa ya kutatuwa shida zetu...just go and leave us alone. Walipoondoka imekuwaje,kila mtu na hamsini zake...wapo kama walivyo...na njaa zao wahindi wanafanya safari za mwezini na teknologia mpaka za nyukila wanazo...kama wangeendelea kukaliwa na wazungu wangeendeleza Uhindu, Uislamu na Ukalasinga mpaka leo.
 
Mkuu kitabu kitakatifu na bendera wapi na wapi...plz be a man of your sense

Mkuu I am in my senses. Kitabu ni cha Mungu kutokana na imani ya mtu am I right? Ina maana Mungu wako wewe anaweza asiwe Mungu wa mwingine. Sasa je kama mtu ana regard bendera yake kwa heshima ile ile ambayo wewe una regard kitabu chako kitakatifu? Je kuchoma bendera ya nchi nyingine siyo kuwa kosea heshima? Au labda useme hapa hapa kuwa mkuu una support uchomaji wa bendera za nchi nyingine.
 
The invaders are colliding people's heads to register their illegitimate presence...watasema mnaona hali ya amani si shwari...tunahitajika bado...Mkuu, Mahtama Gandhi aliaambiwa na waingereza...kuwa hawataondoka mpaka wahakikishe kuwa tofauti za kidini na kikabila zinakwisha ndo tukupeni uhuru. Gandhi aliwajibu dai lenu haliendani na ukweli uliopo na sera zenu za utawala yaani "wagawe na uwatale", akawaambia,ondokeni tupate fursa ya kutatuwa shida zetu...just go and leave us alone. Walipoondoka imekuwaje,kila mtu na hamsini zake...wapo kama walivyo...na njaa zao wahindi wanafanya safari za mwezini na teknologia mpaka za nyukila wanazo...kama wangeendelea kukaliwa na wazungu wangeendeleza Uhindu, Uislamu na Ukalasinga mpaka leo.

Mkuu sasa wewe hapa unaongelea kwanza mambo ya tofauti za kidini halafu unaongelea science and technology sasa hapo wapi na wapi? Na kama haujui mkuu India bado kuna matatizo mengi sana kati ya Waislamu na Wakristo au hata hilo hujui? Nikuoe mifano? Sasa na huko India bado wana tawaliwa na "imperalists"?
 
Qur-ani, yaani maneno ya Mwenyezi Mungu ni ile inayosomwa na kuhifadhiwa na waumini waislamu wakiwemo watoto. Ni ile ile kama ilivyoteremshwa wakati wa Mtume Muhammad (SAW), bila ya change of even a dot. Ni ile ile wanayosoma waislamu wa Afrika, ni ile ile wanayosoma waislmu wa China, ni ile ile wanayosoma waislamu wa Marekani, ni ile ile wanayosoma waislamu wote ulimwenguni bila ya change of a dot.

Mwenyezi Mungu anaihifadhi ndani ya nyoyo za waja wake wema, verbatim na maana, makusudi na maantiki yake. HII HAICHOMEKI LABDA WAULIWE WALE WALIOIHIFADHI. Ama karatasi, mbao au magome ya miti iliyoandikiwa, bila shaka, tena bila ya shaka yanachomeka na huyo aliyekuambia nawe ukawa mpaka leo hujajiambia mwenyewe, eti haichomeki alikudanganya katika mtindo ule ule wa Santa, father X-mas au labda metaphorical meaning yake aliyokusudia ilikuwa hii:

Tofauti na Injili, ambayo ni maneno aliyoshushiwa Nabii Issa na Allah- hayapo tena. Vile vile Biblia, ambayo ni maneno ya waandishi, yanayodaiwa kuwemo ndani yake injili na mwengineo yasiyokuwa injili na hata Jesus hakuyajua wala kuyasema, haya HAYAHIFADHIWI/HAYAKARIRIWI/HAYAKARIRIKI. Na hata hao wanaosema na kudai kwamba wanayaamini hawawezi kuyahifadhi au kuyakariri kama yalivyoshushwa kwa Issa (Jesus). Yanabadilikabadilika kila karne au decades, lugha tofauti zinatumika (transliteration sio translation) ambazo hata Jesus hakuzungumza, versions baada ya versions, alimradi "originality is long gone". HII INACHOMEKA KWA MAANA IMEHIFADHIWA KWENYE MAANDISHI YA KARATASI TU, ONLY BITS AND PIECES KATIKA NYOYO ZA WATU, si Kiingereza, kiswahili au lugh yeyote ile.

UKIAMBIWA KWAMBA QUR-ANI HAICHOMEKI MAANA YAKE NI KWAMBA, KAMA WATU MAADUI WATAZIKUSANYA QUR-ANI ZOTE ULIMWENGUNI, ABSOLUTE ZOTE, NA WAZICHOME, WAZITOSE BAHARINI AU UHARIBIFU WOWOTE ULE, BASI WITHIN MINUTES, NA KATIKA LEVEL YA KITONGOJI TU, KWA MFANO TEMEKE TU, AU ZANZIBAR MJINI TU, AU NEW YORK CITY TU, WAISLAMU WATAITOA KUTOKA MIOYONI MWAO NA KUIANDIKA TENA WITHOUT A CHANGE OF DOT, AND WITHIN MINUTES, THE QUR-AAN WILL BE ALIVE AGAIN. HATA WATOTO WA KIISLAMU WANAYAWEZA HAYA. Mimi wawili kati ya wangu wanne, AlhamduliLlaahi watairudisha walau nusu yake. This is fact.

UNLIKE THE BIBLE, KAMA ZITAKUSANYWA ZOTE ULIMWENGUNI NA KUCHOMWA MOTO, ABSOLUTE ZOTE, Nakupa challenge Max-Shimba na wenzio wote, ULIMWENGU MZIMA WA WAKRISTO AKIWEMO POPE, HATA WAFANJEJE HAWATOWEZA KUIRUDISHA TENA HATA MIAKA. HAKUNA HATA MMOJA ALIYEIHIFADHI. NI MANENO YA KWELI TU YA MWENYEZI MUNGU NDIO HUWEZA KUHIFADHIKA VOLUMES HADI VOLUMES NDANI YA NYOYO HATA ZA WATOTO WADOGO.

AMA KUCHOMA KARATASI, MBAO, MAGOME AMBAYO MAANDISHI MATAKATIFU YA DINI YEYOTE YAMEANDIKWA ni UTOFU WA ADABU, KUKOSA HESHIMA, NA KIBURI NA DHARAU.
WANAOFANYA HIVYO KATIKA UISLAMU ADHABU YAKE NI KALI SANA. NA KAMA WANAOFANYA HIVYO NI MAADUI WAVAMIZI NA WANA NJAMA NYENGINE BASI KUINGIA VITANI DHIDI YAO NI HALALI ILIYO WAZI KABISA.

Hello M Joka,
MAXIMUM Respct to You Mkuu.
Kwa ulichoandika hapo juu, You made me so proud brother.
SALUTE
 
Mkuu I am in my senses. Kitabu ni cha Mungu kutokana na imani ya mtu am I right? Ina maana Mungu wako wewe anaweza asiwe Mungu wa mwingine. Sasa je kama mtu ana regard bendera yake kwa heshima ile ile ambayo wewe una regard kitabu chako kitakatifu? Je kuchoma bendera ya nchi nyingine siyo kuwa kosea heshima? Au labda useme hapa hapa kuwa mkuu una support uchomaji wa bendera za nchi nyingine.
Mkuu,kama mtu ana imani tofauti na wewe ndo usimheshimu au usiheshimu imani yake...mimi siamini kama sanamu la mwanamke mwenye mikono sita(universal mother statue) Wahindu wanaamini kuwa ni Mungu, lakini siwezi ku-bring to their attention dharau,kejeli na kitendo chochote kitakacholeta hisia mbaya zidi ya kitu hicho ijapo mimi siamini. Kuhusu kuchomwa bendera kwanza jiulize who raise his arm first against the other particularly in this case?
Wafuasi wa Chavez wanajuwa walichokerwa na Wamarekani lakini si habari za Mungu wala dini, walichoma moto bendera kuonyesha hisia zao za kutokubaliana na kitendo cha serikali ya washington kumpindua rais waliemchagua wao wenyewe...the same to any situation. Naunga mkono mtu kuonyesha hisia zake badala ya kujiskia kadhulumiwa in any passive resistant way.
Mkuu sasa wewe hapa unaongelea kwanza mambo ya tofauti za kidini halafu unaongelea science and technology sasa hapo wapi na wapi? Na kama haujui mkuu India bado kuna matatizo mengi sana kati ya Waislamu na Wakristo au hata hilo hujui? Nikuoe mifano? Sasa na huko India bado wana tawaliwa na "imperalists"?
Mkuu hakuna nchi inayoishi maisha ya peponi...nimeskia Norway...ila nilichomaanisha zaidi ni ubaya wa sera za kibeberu za divide and rule,ambazo siku zote huwagonganisha watawaliwa na kugeukiana wenyewe kwa wenyewe huku watawala wakitazama tu na kuendeleza ubabe na ubeberu wao...niki-refer ile hoja ya Max ya wanaojiripuwa kuuwa ndugu zao...nikiashiria kuwa hali imekuwa mbaya zaidi baada ya uvamizi wa mabeberu...au wewe unaonaje?
 
The invaders are colliding people's heads to register their illegitimate presence...watasema mnaona hali ya amani si shwari...tunahitajika bado...Mkuu, Mahtama Gandhi aliaambiwa na waingereza...kuwa hawataondoka mpaka wahakikishe kuwa tofauti za kidini na kikabila zinakwisha ndo tukupeni uhuru. Gandhi aliwajibu dai lenu haliendani na ukweli uliopo na sera zenu za utawala yaani "wagawe na uwatale", akawaambia,ondokeni tupate fursa ya kutatuwa shida zetu...just go and leave us alone. Walipoondoka imekuwaje,kila mtu na hamsini zake...wapo kama walivyo...na njaa zao wahindi wanafanya safari za mwezini na teknologia mpaka za nyukila wanazo...kama wangeendelea kukaliwa na wazungu wangeendeleza Uhindu, Uislamu na Ukalasinga mpaka leo.

Hao watu hawana uwezo wa kuwajuwa hao invaders? Kiasi cha kuwagonganisha vichwa?

Illegitimate presence ni ipi hiyo?
 
Shetani anapompotosha mtu huwa yeye (shetani) hashiriki katika dhambi ile, anakaa pembeni akiangalia na kushangilia mtu yule akibaka,akiuwa, akipiga,akiongopa,akitapeli...nk
Nchi moja inapovamia nchi nyengine na ku-impose matakwa yake hapo...hiyo ndo Illegitimate presence zamani tukiita Imperialism yaani Ubeberu au colonialism yaani ukoloni...au unaamini kuwa uwepo wa Waingereza Tanzania kabla ya 1961 ulikuwa wa halali?
 
Kuanzia wenye kitabu mpaka wenye bendera wote wamezugwa na watu tu.Bora hata hao wenye bendera wanajua kwamba wamezugwa na watu, hao wenye kitabu wenyewe wanaamini kabisa kitabu cha mungu!

Mungu ambaye hata hayupo masikini.
 
Shetani anapompotosha mtu huwa yeye (shetani) hashiriki katika dhambi ile, anakaa pembeni akiangalia na kushangilia mtu yule akibaka,akiuwa, akipiga,akiongopa,akitapeli...nk
Nchi moja inapovamia nchi nyengine na ku-impose matakwa yake hapo...hiyo ndo Illegitimate presence zamani tukiita Imperialism yaani Ubeberu au colonialism yaani ukoloni...au unaamini kuwa uwepo wa Waingereza Tanzania kabla ya 1961 ulikuwa wa halali?

Sheytwain aliwalazimisha kubaka, au kuua, au kufanya unyama? Si, unafanya kwa hiyari yako? Sasa vipi umtupie lawama Sheytwain, wakati mbakaji ni bin adam?

Kama wazo lili toka kwa Sheytwain, na wewe ukalikubari, sasa hapo ni nani mwenye kosa? Sheytwain au aliye consent na ku-execute wazo?
 
Back
Top Bottom