Wamarekani wanatudharau sana!

hayo magari nayo ni msaada wa siku za nyuma, unadhani kuwa mengi nd tumeyanunua sisi. kuwa mtulivu pkea msaada mkuu Tanzania tunaweza kuchakachua tu hadi umri miss katoka 25 hadi 18

kwa hiyo misaada tunayopewa imetusabisha watanzania tuwe wachakachuzi wa kila jambo!
 
Hakunahaja ya kulalamija eti flni anatuzarau jambola maana nikujiulizasisiwenyewe kwamba kwanini tunazaraulika baadayahapo utakuta sisiwenyewe ndiotatizo tunakilakitu lakinihatujui tufanyenini ilitujitegemee. Kazikubwa ya viongozi waafrika nikuwazia ubinafsi ,ufisadi, nasiokuwazia maendeleo ya taifa. Tukiamua kubadilika Afrika tunaweza kwani tunakilakitu kinachohitajika katika maendeleo ya hii dunia. Nimaamuzitu!!!!.
 
Sio hivo tu wanatudharau pia kuona Rais wetu anaenda kutibiwa kwao Marekani ilihali tuna madaktari wazalendo hapa TZ wanaotambulika duniani, tena anaenda kutibiwa katatizo kadogo ambako wala si ugonjwa!
 
Thubutuu! umwambie atibiwe bongo kama unataka kutangaza msiba wa kitaifa, watu watafanya kila namna na kutumia kila aina ya rushwa lengo wamdhuru tu. watu wamechoka na uozo anaoufanya.
 
Thubutuu! umwambie atibiwe bongo kama unataka kutangaza msiba wa kitaifa, watu watafanya kila namna na kutumia kila aina ya rushwa lengo wamdhuru tu. watu wamechoka na uozo anaoufanya.

Haya bwana!kwa hiyo mheshimiwa anajihami. Ina maana gani unapoteza imani na familia yako unaiamini familia ya jirani?kuna tatizo la msingi hapo!
 
Kumbuka kuwa wao wametoa msaada wa fedha za vyandarua, lakini vyandarua vinatengenezwa Tanzania na Watanzania wenzako.

Haya bwana!kwa hiyo mheshimiwa anajihami. Ina maana gani unapoteza imani na familia yako unaiamini familia ya jirani?kuna tatizo la msingi hapo!

Unaweza kupoteza imani na familia yako kulingana na matendo unayoifanyia familia, haiwezekani familia inahagaika kila siku wewe zako ni safari sisizokuwa na mwisho, pamoja na matumizi mabaya ya mali ya familia(kunguguni) lazma ujishutukie kwamba kati ya wana-member watakuwa wamechukinzwa na tabia ninayoifanya kwa hiyo siku yoyote wanaweza kunidhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…