Nimekaa nikafkri wamarekani watudharau sana, eti wanatuletea msaada wa vyandarua kama vya kuvulia samaki wanavyotumia wavuvi halamu,
ni kwanini wasituletee dawa ya kuangamiza kabsa vizalia vyote vya mbu wasababishao ungojwa wa malaria.
wale walevi, walizi wa usiku, walala nje pale kariakoo n.k wao watafanyaje,.?
misaada mingine na nyie serikali muwe mnafikiri mara mbili mbili,
hivyo vyandarua vina jambo.
Wabongo wana akili sana baada ya kuona vyandarua haviwasaidiii wakaamua kuvitumia kwa kukuzia kuku, hii nimeikuta Maneromango Kisarawe kwa mkulima kazungushia ili vifaranga wasiliwe na mwewe
Mkuu sina hakika kama kweli kuna mtu anavitumia hivyo vyandarua, uliyaona wewe basi kote ndio hivyo hivyo WAMEAMUA KUFUGIA VITOTO VYA BATA. MIMI MWENYEWE BINAFSI MPAKA LEO SIJAZIFUNGUA BADO NI MPYA.
hayo magari nayo ni msaada wa siku za nyuma, unadhani kuwa mengi nd tumeyanunua sisi. kuwa mtulivu pkea msaada mkuu Tanzania tunaweza kuchakachua tu hadi umri miss katoka 25 hadi 18Binafsi sipendi tunavyosaidiwa,eti unakuta waziri anaenda kupokea magari 3 na pikipiki 5,wakati yeye na msafara wake magari walokuja nayo yanaupita huo msaada.