Wamarekani wamekalia kooni Pompeo kuhusu kauli yake ya chaguzi za Afrika

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
Wananchi wa kawaida wa USA na viongozi wa kisiasa wamshukia kama mwewe Waziri wa kigeni mambo ya kigeni wa USA bwana mike pompeo.

Pompeo ambaye anaonekana hajui chochote kuhusu Africa, wamarekani wamemwambia.

Africa sio Nchi, shughulikia kwanza Uchaguzi wa USA.

Wamemwambia inakuaje unafuatilia Uchaguzi wa Africa wakati Uchaguzi wa USA unakasaro nyingi?

Soma mwenyewe retweet alizokuwa anapewa vidonge vyake.

Pompeo atajuta.

20201010_095030.jpg
20201010_095050.jpg
20201010_095107.jpg
20201010_095122.jpg
20201010_095141.jpg
 
Kwa hiyo Robert ndio atamsaidia msaliti wa Nchi Lissu kushinda ?
Wapi nimesema kuwa Robert atamsadia Lissu kushinda?!Ndiyo maana huwa tunawaita kuwa ni mbumbumbu.Reasoning capacity yenu ni zero.Sijawahi kusema popote kuwa Robert atamsaidia Lissu kushinda ila unanilazimisha kuwa huwa nasemaga hivyo.Yaani ni vituko!
 
Hayajui hata kujenga hoja,
 
Wewe mbuzi jike subiri kibano toka kwa Beberu Mwandamizi aka kubwa la Mabeberu huyo bado yupo sana hadi January.
 
Ndio Chadema mnavyoaminishwa na lissu kuwa Robert atawasaidia kushinda

Hatuna huruma kwenye kura, tutawafundisha mwaka huu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa

Back
Top Bottom