Wamarekani wababe wa dunia

Wamarekani wababe wa dunia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,570
Reaction score
53,584
Yaani nimepitia runinga za nchi tofauti naona zote zipo live kuhusu uchaguzi wa Marekani.
Kwetu Kenya, naona hata Tanzania ITV wapo live Marekani. Mitandao yoke ya kijamii haijasazwa pia.
Ifike tukubali hawa wanaimilki hii dunia.
Hata nchi za Waarabu wote wanafuatilia live.
 
Back
Top Bottom