Wamarekan kumua Osama bin Laden si luhisho la ugaidi suluhisho wekeni misingi sawa!!

Walishutiwa au waliangushiwa makombora??maana wamesema mabaki ya mwiliwake yamepelekwa baharini!!!Wamerekani waoga waneona yanaweza yakaunganika baadae nini kama John conner wa temineta!!!nimecheka kuzika baharini!!hawaamini kama kafa!!
 
ukiangalia list karibu yoooote hapo juu ni ya muslim, ama kweli hii ni crusade war against islam, lakini kila kitu kina mwisho, mungu aliahidi kuilinda dini yake islam, look pamoja na prppaganda zooote hizi lakini rate ya watu wanaosilimu ulaya ndio imeongezeka maradufu hasa baada ya september 11 attack.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…