Wamama kuogopa watoto wao

Wamama kuogopa watoto wao

makavu

Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
13
Reaction score
4
hello.hivi kwanini utakuta mama amezaa watoto kma wanne hvi, afu ktk hao mmoja wao anamuogopa.(mwanaume)hta hawez kumwambia ladba amsaidie ki2 fulan mpk smtms apitie/amwambie kwa mke wa mtoto wake hyo.je ni kwa nini hutokea hvyo smtms?
 
Back
Top Bottom