I don't give a sh**^^&&% we are all african and I'm proud to be african .....I mean Black african.
hii mipaka imewekwa na wakoloni lakini sisi ni DUGU moja ni vile waliweka mipaka kutugawanya.
I love u MAMA AFRICA.
Most of these guys in the list have contributed positively to our country. I dont think it could be wise to begin looking at them as not Tanzanians. By the way, all our borders have a common problem of relatives living in other countries.Kuna rafiki yangu mmoja Mmalawi anafundisha chuo kikuu kimoja hapa Dar aliwahi kunieleza kuwa kwa viwango vya wanafunzi wa bongo anawaofundisha (chuoni) wengi wao wana viwango sawa na watoto wa shule za upili( sekondari) za kwao. Nilibisha sana, basi akaniamwambia wamalawi eti ni vichwa sana akanipa mifano kadhaa ya wamalawi waliopo hapa TZ ambao ni vichwa(na kweli hao watu ni vichwa sana). Aliowataja ni hawa hapa sasa sijua kama ni kweli
1. Profesa Mathew Luhanga
2. Profesa Nkoma wa TCRA
3. Profesa Msambichaka (wote wawili)
4. Marehemu Austin Shaba
5. Maremu Kambona
6. Marehemu Nyirenda wa Uhuru Torch Kilimanjaro
7. Kasesera wa mpira wa kikapu
8. Msowayas
9.Kasambalas
10. Chiume
11. Lifa Chipaka
12.
ukianza kuchambua utakuta hakuna mzaliwa halisi wa hapa tanzania zaidi ya wagogo tu!.
na wanajua kujipendekeza kwa mabosi,da nakumbuka kipindi fulani niliajiriwa na hawa jamaa pahali jamaa alipelekwa pale na mama yake basi jinsi alivyokuwa anajipendekeza kwa bosi mpaka bosi akawa kama baba yake,teh teh mshkaji ikawa ukifanya kosa kidogo anakutisha ´´ntakusemea kwa baba`´.ndo nikajua wanyasa ni soo.Wamalawi ni waaminifu sana.
Wote asili yetu siyo Tanzania. Jaribu kurudi Kushi, kabla hatujagawanyika wengine kuelekea kusini mpaka arusha,
msianze kubaguana bila sababu.
Mimi mmoja kati ya hiyo list nimesoma naye UDSM hakuwa kichwa kabisa darasani ila alikuwa ni nadhwifu sana. Yeye anatoka kule Litui Mbambabay mpakani na malawi. kabila yake mnyasa.[/QUOTE
BaruBaru,
Inaonyesha uwezo wako upstairs ni mzuri sana, maan wee ndio umejibu kulingana na vile ambavyo nilihitaji kusaidiwa. Maana lengo langu halikuwa kuwabagua bali nilikuwa naeleza jinsi huyo Mmalawi alivyokuwa anjijifagilia kuwa wao ni vichwa hata akanitajia majina ya hao watu. Sasa wewe angalau umekanusha kuwa one of them in the list sio kichwa kama jamaa alivyonipiga fiksi. Tukielewa madhumuni au lengo la muanzisha hoja itatusaidia kuwa katika mstari tunapochangia.